Kipa wa Manchester United ,David De Gea ametoa msaada wa pauni 270,000 sawa na tsh milioni 755 katika mji wa Madrid ili kusaidia mapambano dhidi ya virusi vya Corona.
Nyota huyo amesema pesa hiyo ameitoa ili iongeze mtaji wa Spania kusaidia kununua vifaa vya matibabu ya Corona na kusaidia familia zilizokutwa na waathirika wa virusi vya Corona.
Rais wa jamii ya Madrid ,Isabel Diaz Ayuso ametoa shukrani zake za dhati kwa kipa huyo kwa kuona jinsi gani walivyokuwa na uhitaji na ameshishiriki kwa nafasi kubwa kupambana dhidi ya gonjwa hilo hatari la Corona.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.