Kiungo wa Manchester City ambaye pia ni raia wa Ubelgiji,Kelvin De Bruyne anaweza kusepa mda wowote ndani ya kikosi chake kama rufaa ya klabu hiyo ya kufungiwa miaka miwili kucheza michuano ya ulaya itatupiliwa mbali na Uefa.
Man City walifungwiwa kwa muda wa miaka miwili kutoshiriki michuano yoyote inayoandaliwa na Uefa kwa kosa la kuvunja sheria ya matumizi ya fedha (FFP) mwezi February.
Klabu hiyo inashika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu ulaya ikiwa na pointi 57 katika michezo 28 aliyocheza akiachwa mchezo mmoja na Liverpool iliyo nafasi ya kwanza na pointi 82.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.