Klabu ya Borussia Dortmund imewapa kichapo cha mabao 2-0 klabu ya Wolfsburg huko ujerumani katika uwanja wa Volkswagen Arena siku ya leo ,timu zote mbili zikisimamiwa na refa Daniel Siebert kutoka nchini humo.
Bao la kwanza Dortmund lilifungwa dakika ya 32 na Raphael Guerreiro huku bao la pili lilipachikwa na Achraf Hakimi dakika ya 78.
Dortmund inashika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu Ujerumani(Bundasliga)ikiwa na pointi 57 katika mechi 27 alizocheza huku akiachwa nyuma kwa alama moja na Bayern wanaoshika nafasi ya kwanza katika mechi 26.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.