Mchezaji maarufu wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta amesadikika kutua nchini England katika timu inayoshiriki ligi kuu Norwich City.
Timu hiyo i mefikia ofa ya pauni milioni 11 ambayo ni sawa na tsh bilioni 33 huku ikiwa thamani ya mchezaji huyo ni pauni milioni 10 sawa na tsh bilioni 30.
Licha ya mitandao ya nchini England kumuweka kama mchezaji wao na hata kutuma picha yake kwenye mitandao ya kijamii jana bado imeibuka vita kubwa nchini humo baina ya vilabu mbalimbali kumuwania mshambuliaji huyo.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.
Vita hii ni kutoka kwa Norwich City, West Ham United na Aston Villa ambavyo imesemekana kuwania saini ya mchezaji huyo na kutaka pia kumuweka upande wao.