89
Beki na nahodha wa Yanga Lamine Moro amesema hawajakata tamaa na ubingwa, Moro amesema wachezaji wote wa Yanga mawazo yao yapo kwenye ubingwa
“Wanaodhani kuwa sisi tumekata tamaa na ubingwa, wanakosea sana kwa sababu wachezaji wote hapa mawazo yapo kwenye ubingwa”
“Nimekuwa nikiona huko mitandaoni watu wakizungumza vibaya kuhusu timu na wanafikiri sisi tumekata tamaa, niwaambie kwenye maisha hakuna kukata tamaa, tutapambana hadi mwisho kuwania ubingwa wa msimu”
“Tangu nimefika Tanzania sijawahi kuona mechi rahisi hasa kwa Yanga, ushindani huo umekuwa ukitufanya nasi tuzidi kuongeza juhudi ili kufikia malengo,” Alisema Moro
@Viwanjanileo
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.