Site icon Sports Leo

Huku Dube,Kule Mozinzi

Mshambuliaji wa hatari wa Azam akiendelea na mazoezi yake binafsi ya kujiweka fiti baada ya kuwa nje ya dimba kwa muda sasa akiuguza jeraha.

Kupona kwa Dube kumekua faraja kwa Azam Fc ambayo hivi karibuni imemsajili Mpiana Mozinzi kutokea nchini Congo kuja kuongeza makali katika safu ya ushambuliaji ya klabu hiyo.

Sasa inatarajiwa kuwa uwepo wa Dube,Mozinzi na Chirwa kutawapa tabu mabeki wa ligi kuu ili kurejesha heshima ya klabu hiyo ambayo imekua na matokeo ya kusuasua.

Exit mobile version