118
Kiungo wa kimataifa wa Guinea na klabu ya Liverpool FC Naby Keïta ametoa ndege yake binafsi ili kuwasafirisha wachezaji wenye asili ya Guinea waliopo Ufaransa ili wakaichezee timu ya taifa ya Guinea katika mechi mbili za kufuzu Afcon dhidi ya Mali na Namibia
Wachezaji wa Guinea wenye asili ufaransa walipigwa marufuku kusafiri nje ya bara la Ulaya vinginevyo watumie ndege binafsi na watapaswa kukaa karantini watakaporejea ufaransa.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.