Jembe jipya aliyesajiliwa ndani ya Azam Fc kwa muda wa miaka 4 amekosa kushiriki mechi ya nusu fainali ya kombe la mapinduzi dhidi ya Simba inayochezwa uwanja wa Gombani nchini Zanzibar.
Kwa mujibu wa kanuni Arstica Cioaba ameshindwa kumtumia Khleffin Hamdoun dhidi ya Simba licha ya kuvutiwa na uwezo wake kwa upande wa ushambuliaji.
“Ni kweli Cioaba anamkubali Khleffin hamdoun ila hataweza kumtumia dhidi ya Simba kwani alishacheza Mlandege na timu yake kutolewa , hivyo atatumika kwa michezo ijayo” alisema mtendaji mkuu wa Azam Fc Abdulkarim Amin “popat”.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.