67
Mchezaji wa zamani wa Manchester United ambaye pia anaweza kucheza kama beki wa pembeni,Ashley Young juzi alionekana akiwa na muonekano wa tofauti baada ya kuacha nyele zake kutokana na kuwa ameshindwa kwenda saluni kwa kuhofia kuambukizwa Corona
Â
Winga huyo ambaye kwa sasa anaichezea Inter Milan alijiunga na timu hiyo kwenye usajili wa January alionekana akiwa tofauti na hali aliyokuwa nayo kwa kipindi kirefu akiwa na Man United kwa kuwa kila mara alionekana akiwa na upara.
Â
Siku ya Jumatatu Inter Milan walianza mazoezi yao na Young alionekana kuwa tofauti na jinsi alivyokuwa awali kwa kuwa aliacha nywele zake zikiwa zimekuwa sana.