Baryen Munich kutoka Ujerumani imekuwa timu ya kwanza kuifunga Barcelona zaidi ya mabao matano kwenye mchezo mmoja wa ligi ya mabingwa Barani Ulaya.
Barcelona imekumbana na kipigo cha mabao 8-2 katika mchezo wa robo fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya ambapo mabao hayo yamehatarisha kibarua cha kocha wao mkuu,Quique Setien.
Tetesi zinaeleza kuwa Setien amekuwa hana kiwango kizuri ndani ya Barca hata alipopoteza mbele ya Real Madrid waliotwaa ubingwa wa La Laliga mwezi uliopita, hivyo tayari mabosi wa timu hiyo wameshajadili kuhusu mbadala wake kwa kwa msimu ujao.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.