Home Makala Lionel Messi Akomaa Na Neymar Jr.

Lionel Messi Akomaa Na Neymar Jr.

by Sports Leo
0 comments

Mshambuliaji namba moja ndani ya Barcelona,Lionel Messi bado yupo kwenye harakati za kuwashawishi viongozi wa klabu yake kuipate saini ya mchezaji wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Brazil,Neymar Jr.

Nyota amemchagua Neymar badala ya Lautaro Martinez anayekipiga Inter Milan ambaye inaelezwa kuwa Barcelona wanaisaka saini yake.

Neymar Jr  na Lionel Messi walikuwa ni washikaji wa muda mrefu msimu wa 2013/2017 walipokuwa pamoja Nou Camp ambapo Messi ndani ya La Liga ametupia mabao 19 timu yake ikiwa ni namba moja na ina pointi 58 kibindoni ikiwa imecheza mechi 27.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited