77
Shirikisho la mpira wa miguu nchini Uganda FUFA limewalalamikia shirikisho la Mpira nchi ya Malawi walitumia vipimo vya aina gani hadi kukutwa na Covd kiungo wao Taddeo Lwanga anayekipiga pia Simba sc ya Tanzania.
Huu mchezo wa kufuzu AFCON unaochezwa Leo katika uwanja wa Kamuzu nchini Malawi Wowote kati ya Malawi na Uganda atakayeshinda atafuzu moja kwa moja.
Malawi wanaonekana wanatumia nguvu kubwa sana kushinda huu mchezo baada ya Kampuni mmoja ya kusafirisha Mafuta imejitolea kiasi cha fedha “Kwacha” Million 5 za kimalawi sawa na dola Us$ 6500 ambazo ni zaidi ya Million 15 za kitanzania ambapo timu yao ya taifa ya Malawi wakiweza kufuzu Leo kwa Uganda wanajinyakulia.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.