Mchezo uliochezwa uwanja wa Sokoine jijini Mbeya umewapa ushindi mkubwa Azam Fc kutinga robo fainali kwa ushindi wa penalti 5-4 mbele ya Ihefa Fc ya Mbeya.
Mabingwa hao watetezi wa kombe la shirikisho walitoshana nguvu na Ihefa Fc katika dakika 90 za mchezo na kulazimisha suluhu iliyowapelekea kupiga penalti.
Azama Fc ni mabingwa watetezi tangu walipo litwaa kombe la shirikisho baada ya kushinda fainali dhidi ya Lipuli Fc kwa ushindi wa bao 1-0.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.