Site icon Sports Leo

Majeraha Yamkosesha Neymar Kumshambulia Nantes Leo

Raia wa Brazil Neymar Jr ambaye anaichezea timu ya Paris Saint-Germain (PSG) kama mshambuliaji ataukosa  mchezo wa Ligue 1 utakaochezwa leo dhidi ya Nantes kutokana na majeruhi aliyoyapata.

Dakika 90 za  mchezo wao uliopita dhidi ya Montpellier, Paris Saint German walikubali kupewa kichapo cha mabao 5-0 na kuangukia kumpata Neymar kama majeruhi.

PSG kwa sasa ipo nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa Ligue 1 ikiwa imecheza jumla ya mechi 22 na pointi 55 huku mpinzani wake Nantes ipo nafasi ya tisa ikiwa na pointi 32 imecheza pia mechi 22.

Exit mobile version