Kikosi cha wachezaji 23 wa timu ya Taifa ya Tanzania 🇹🇿 kitakachosafiri siku ya kesho kuelekea Kenya kwa ajili ya mechi mbili za kirafiki na nchi hiyo Machi 15 na 18 kabla ya kurejea kwenye mechi za Kufuzu Afcon dhidi ya Equatorial Guinea pamoja na Libya
1. Juma Kaseja
2. Metacha Mnata
3. Kelvin Yondani
4. Nickson Kibabage
5. Israel Mwenda
6. Yassin Mustapha
7. Dickson Job
8. Hassan Kessy
9. Edward Manyama
10. Salum Abubakar
11. Ayoub Lyanga
12. Farid Mussa
13. Kelvin John
14. Deus Kaseke
15. Idd Seleman
16. Feisal Salum
17. Baraka Majogoro
18. Bakari Mwamnyeto
19. Meshack Abraham
20. Laurent Alfred
21. Nassor Saadun
22. Abdul Seleman
23. Himid Mao