Beki anayekipiga ndani ya klabu ya Barcelona,Samuel Umtiti amesema kuwa hana mpango wa kutimka ndani ya kikosi hicho kwani bado anafurahia maisha yake ndani ya kikosi hicho.
Winga huyo mwenye miaka 26 mkataba wake unameguka msimu wa 2025 ambapo alikuwa anatajwa huenda akasepa.
Klabu ambazo zilikuwa zinatajwa kuiwinda saini ya nyota huyo wa Barcelona ni Chelsea ,Tottenham Hotspurs na Manchester United.
Â