Aston Villa wamefanikiwa kumsajili Mbwana Samatta kwa mkataba wa miaka minne na nusu ambapo ataitumikia klabu hiyo hadi mwezi Juni 2024 kwa ada ya pauni milioni 8.5
Mbwana Samatta atakuwa na kibarua kuelekea kampeni ya ligi kuu na michuano mingine kuanzia wikiendi hii ambapo katika mechi 10 za kwanza Aston Villa itacheza na Watford (H), Leicester City (H), Bournemouth (A), Tottenham Hotspurs (H), Southampton (A), Sheffield United (H), Chelsea (H), Newcastle United (A), Wolverhampton (A), Liverpool (A).
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.