Carlo Ancelotti amekuwa meneja wa kwanza kuonyeshwa kadi nyekundu katika ligi kuu England msimu huu kwenye mchezo uliowakutanisha Everton dhidi ya Man UTD kwenye uwanja wa Goodson Park siku chache nyuma.
Meneja huyo wa Everton akitokea Italia alipewa adhabu hiyo na mwamuzi wa mchezo Chris Kavanagh kwa kosa la kupinga maamuzi ya kukataliwa kwa bao lililofungwa na Dominic Calvert Lewin dakika za lala salama kabla ya kubainika lilikuwa offside .
Everton inashika nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi kuu England ikiwa na pointi 37 katika mechi 28 alizocheza.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.