Site icon Sports Leo

Niyonzima Aongeza Jiko La Pili

Kiungo  anayecheza ndani ya klabu ya Yanga ,Haruna Niyonzima ameamua kuongeza mke wa pili ikiwa ni mwezi wa Ramadhani.

Niyonzima ameamua kufunga ndooa hiyo kimya kimya na mwanadada aitwaiye Cassandra Rayan.

Juma Abdul ambaye ni nahodha wa Yanga ndiye alikuwa msimamizi wake wakati ndoa hiyo ikifungwa kwa wawili hao.

Exit mobile version