Mshambuliaji wa klabu ya Simba Sc Lionel Ateba ameahidi kuwapa furaha mashabiki wa klabu hiyo kuelekea mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Yanga sc utakaofanyika …
Yanga
-
-
Abdulhalim Humud wa Mtibwa Sugar amejiunga na Namungo Fc leo Agosti 13 iliyo chini ya Hitimana Thiery kwa dili la miaka miwili. Humud akiwa Mtibwa Sugar msimu wa 2019/20 alihusika …
-
Klabu ya Azam Fc imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji kutoka Rwanda ambaye alikuwa akicheza ndani ya Yanga Sc, Ally Niyonzima kwa mkataba wa miaka miwili. Niyonzima aliyekuwa akicheza Rayon Sports …
-
Ofisa mtendaji mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’ amesema kuwa wamewaacha nyota wao watatu ndani ya kikosi hicho ikiwa ni mpango wa kufanya maboresho ndani ya kikosi hicho. Popat …
-
Wakati Yanga Sc ipo kwenye anga ya kufanya maboresho ya kikosi chake ili kuwa na ushindani kwenye namba zote kuanzia kipa mpaka wachezaji wa ndani, vita yao sasa inaongezewa makali …
-
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza majina sita ya waamuzi watakaochezesha mchezo wa fainali kombe la Azam (ASFC) utakaofanyika Jumapili August 2,2020 mkoani Sumbawanga Uwanja wa Nelson Mandela kati ya …
-
Klabu ya Yanga sc itaanza kupokea mastaa wapya kwa ajili ya msimu kuanzia kesho jumatatu baada ya ligi kuu kumalizika rasmi hii leo. Mastaa hao wanaokuja kusaini mikataba ya kukipiga …
-
Kipa namba moja Singida United ambaye pia aliwahi kukipiga ndani ya Mbeya City ,Owen Chaima amesema kuwa hataweza kuwa na timu hiyo ligi daraja la kwanza kwa kuwa anaamini katika …
-
Beki mtanzania anayekipiga ndani ya klabu ya Nkana nchini Zambia, Hassan Kessy yupo kwenye mjadala wa Kamati ya usajili wa Yanga na jina lake limekabidhiwa kwa Kocha Mkuu wa timu …
-
Nahodha wa klabu ya Simba sc John Boko Ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi juni akiwashinda Atupele Green wa biashara united na Martin Kiggi wa Aliance School ambao aliingia …