Tottenham Hotspurs imekamilisha usajili wa kiungo Pierre-Emile Hojbjerg kutoka Southampton kwa dili la miaka mitano baada ya utaratibu wa vipimo kukamilika.
Pierre amejiunga na klabu hiyo kwa dau la thamani ya milioni 20 kuitumikia timu hiyo akitokea Southampton akiwa na umri wa miaka 25.
Tottenham imemkabidhi jezi namba tano nyota huyo ambayo ataitumia msimu ujao wa 2020/21 kwenye Ligi Kuu England.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.