Beki wa kati wa Arsenal ,David Luiz anaamini kuwa Kwenye mapambano ya virusi vya Corona kuna umuhimu wa kuwakumbuka wataalamu wa masuala ya afya kwani wamekuwa wakifanya mambo makubwa na wakati mwingine wakiwa Kwenye hatari wanapambana katika kazi yao kuhakikisha usalama unapatika kwa wagonjwa.
Luiz amesema kuwa watu wa afya wamekuwa wakijitolea kwenye mambo mengi bila kujali matokeo kwao japo ni ugonjwa hatari na uwezekano wa wao kuupata upo mikononi mwao.
“Kitu muhimu ni kuwaombea kwani wanajihatarisha na hawachoki katika kazi yao, nasi ni lazima kuchukua tahadhari, “alisema Luiz
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.