Simba na Yanga ina matokeo yanayoelekea kufanana katika mechi za ligi kuu ambazo zimewakutanisha jambo linaloleta motisha hadi hivi sasa kwa kila mmoja kutaka kuupata ushindi ili kuthibitisha nani mbabe kati yao.
Kwenye mechi 20 ambazo zimewakutanisha watani hao wa jadi katika ligi kuu ndani ya kipindi cha miaka kumi,Simba imeweza kushinda mechi sita huku Yanga wakipata ushindi mechi tano na kudroo mara sita.
Ni mara mbili tu timu hizo kati ya mechi 20 katika ligi kumalizika bila bao kufungwa ambapo ni Octoba,8 2014 na Septemba 30,2018.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.