Baada ya kufanikiwa kuifunga klabu ya Al ahly ya nchini Misri sasa klabu ya Simba sc imekaa kileleni mwa msimamo wa jumla wa makundi katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika.
Simba sc ambayo awali iliwafunga As vita ugenini 1-0 na jana pia ikaibuka na ushindi kama huo dhidi ya mabingwa wa Afrika Al ahly na kupelekea kujinyakulia alama 6 hivyo kukaa kileleni mwa timu zote 16 zinashirikimichuano hiyo mikubwa barani Afrika.Soma jedwali kamili la msimamo.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.