Home Makala Simba Yaanza Vyema Ligi Kuu Bara

Simba Yaanza Vyema Ligi Kuu Bara

by Sports Leo
0 comments

Simba  Sc wamelifungua vyema pazia la Ligi kuu bara baada ya kunyakua pointi tau kutoka kwa Ihefa Fc iliyoburuzwa kwa mabao 2-1.

John Bocco ambaye ni nahodha wa klabu hiyo ameanza kuwapatia Simba Sc bao la kwanza dakika ya pili ambapo lilisawazishwa na mchezaji wa Ihefa Fc,Omary Mponda dakika ya 15.

Bao la lililowapa ushindi Simba lilipachikwa na Mzamiru Yassini dakika ya 42 ambalo lilidumu dakika 90 za mchezo na kuwafanya wanamsimbazi hao kuanza msimu vizuri kwa kunyakua pointi tatu.

banner

Ihefu fc imepanda daraja msimu huu na imewapa tabu mabingwa watetezi Simba leo kwani wanacheza soka la utulivu na kwa umakini mkubwa .

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited