Home Makala Tetesi Za Usajili Ulaya

Tetesi Za Usajili Ulaya

by Sports Leo
0 comments

Mlinda mlango  wa Manchester United,Marcos Rojo inasemekana kuwa muda wake umeisha baada ya kutimiza miaka 29 akiitumikia timu hiyo hivyoamejiunga na klabu ya Estudiates ya nchini  Argentina kwa mkopo wa msimu mzima.

Marcos alijiunga na United mwaka 2014 akiwa ni mchezaji wa Lisbon na kwa wakati huohuo alihitajika kwenye klabu ya Ureno ili abadilishane na Bruno Fernandes lakini mabadilishano hayakukamilika.

United imekuwa ikijutia usajili wa mlinda mlango huyo kwani amekuwa na matukio mabovu kwenye jamii yake ikiwa ni kukamatwa kwa kosa la utupaji chupa ovyo ila akaweza kulipa faini iliyotolewa na mahakama  na kushinda kesi.

banner

Urejeo wa Eric Bailly ambaye ni mlinda mlango wa Manchester United wa mda ila alikuwa ni majeruhi kunamkosesha nafasi Marcos ya kuendelea kubaki United.

Marcos anatarajiwa kurudi Argentina wikiendi hii kusubiri usajili wake ukamilike ndani ya Estudiates.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited