Home Makala Tokyo Olympics yafunguliwa rasmi

Tokyo Olympics yafunguliwa rasmi

by Sports Leo
0 comments

Michezo ya Tokyo Olympics 2020 imefunguliwa rasmi hii kwa kuwashwa kwa mwenge kuashiria kuanza kwa mashindano hayo makubwa duniani.

Mwnge wa Olympiki umewashwa na mchezaji nyota wa tenisis duniani kutoka Japani Naomi Osaka.

Michezo hiyo ilipangwa kufanyika mwaka 2020 ilisogezwa mbele kutokana na changamoto za ugonjwa  wa Covid 19 kusababisha kufungwa kwa nchi mnyingi duniani.

banner

Sherehe hizo za ufunguzi hazikuwa kama zile zilizozoeleka kutokana na kukosekana kwa mashabiki viwanjani kutokana na sheria za kupambana na Covid 19 nchini Japani huku wachache wakiwa mbalimbali na wachezaji wakionekana kuvaa barakao.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited