Home Makala United Yaweka Rekodi.

United Yaweka Rekodi.

by Sports Leo
0 comments

Manchester United wamefeli kulenga lango katika mchezo wa ligi ya ndani kwa mara ya kwanza tangu Januari 2015 .

wageni hao walishindwa kuweka rekodi ya bao katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Molineux mchezo uliomalizika kwa suluhu.

Suluhu hiyo imepelekea mchezo huo kurudiwa katika uwanja wa Old Traford siku 10 zijazo ambao utakuwa mchezo wa 38 kwa Wolves.

banner

“Tuna michezo ya kutosha na hivi karibuni tutacheza na wolves tena na kuwafunga,hilo ndo lengo kuu”Alisema Olle Gunnar Solskjaer,

Huku akimalizia kusema “Heri kurudia mchezo kuliko kutoka mchezoni”.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited