Eden Hazard ambaye ni staa wa Real Madrid ameanza mazoezi uwanjani baada ya kuwa nje mda mrefu kutokana na kuuguza majeraha.
Staa huyo alianza mazoezi rasmi siku ya Jumanne akiwa na majeruhi mwenzake Marcos Asensio ambae kwa mda mrefu pia hakuwa uwanjani huku wakiwa wamevaa viatu maalumu vya kuwazuia wasijitoneshe.
Hazard na Marcos walikosa mechi kadhaa ikiemo ligi ya mabingwa Ulaya,Spanish Super Cup na La Liga.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.
Kocha mkuu wa Madrid Zinedine Zidane amepata furaha sana kwani atapata nguvu kuelekea mechi zake zijazo za ligi ya mabingwa na La Liga.