Home Makala Yanga Msitufokee,Octoba 18 Hiyoo

Yanga Msitufokee,Octoba 18 Hiyoo

by Sports Leo
0 comments

Simba Sc imeibuka na kauli mbiu mpya kuelekea mechi ya watani wa jadi itakayochezwa Octoba 18 mwaka huu uwanja wa Uhuru jijini Dar-es-salaam na matokeo yatakayopatikana ambayo ni ‘Zin Zala Day’.

Wanamsimbazi hao walioitungua Yanga Sc mabao 4-1 Julai mwaka huu katika mchezo wa ligi kuu bara msimu ulioisha bado wanaimani kubwa ya kuupata ushini huo kwa mara nyingine katika msimu huu ulioanza wa ligi kuu 2020/2021.

Kwa mujibu wa mkuu wa idara ya habari wa Simba,Haji Manara amesema kuwa watatumia mchezo na JKT Tanzania wanaotarajia kucheza kesho kutwa kwenye uwanja wa Jamuhuri ,Dodoma kama maandalizi ya kuikabili Yanga kwa sababu kutakuwa na mapumziko ya kupisha ratiba ya timu ya taifa,Taifa Stars.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited