Beki wa Azam FC, Yakubu Mohammed ataukosa mchezo wa ‘kiporo’ wa Ligi Kuu dhidi ya mabingwa watetezi, Simba kwa sababu ya kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano alizopata katika mechi zilizopita za mzunguko wa kwanza,
Kukosekana kwa beki huyo ni pigo kwa klabu ya Azam Fc kutokana na kuwa na uzoefu wa kutosha hasa anapocheza pamoja na mkongwe Aggrey Morris.