76
Afisa habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wao wana mpango wa kushusha basi jipya kali kuliko lile TATA la watani wao Simba SC Tanzania.
“Yanga tupo katika mpango wa kushusha basi jipya kali kuliko lile Tata la wenzetu (Simba), sio kwamba mpango huu ni baada ya kuona wenzetu wameanza, hapana, bali ni mpango ambao tumekuwa nao kwa muda mrefu”
“Hivyo wapenzi wa Yanga wanatakiwa kutulia kwani tutashusha basi jipya na kali kwa ajili ya safari za wachezaji za hapa na pale,” alisema Bumbuli
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.