Site icon Sports Leo

Cavani Aliichomolea Juve

Mshambuliaji mpya wa klabu ya Manchester United Edson Cavani amefunguka jinsi alivyokataa kujiunga na timu mbalimbali duniani ili ajiunge na Manchester United.

Mshambuliaji huyo aliyemaliza mkataba wake katika klabu ya Paris st.Germans anasema klabu mbalimbali barani ulaya ikiwemo Juventus zilionyesha nia ya kumsajili lakini hakupokea simu za timu hizo anasema.


“Nilisema hapana kuviambia vilabu vingi vya Italia ikiwemo Juventus, ambao walinipigia simu mara nyingi, na Inter pia”Alisema Cavani

Exit mobile version