Timu ya taifa ya Uingereza imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Kossovo katika mchezo wa kundi A kuwania kufuzu michuano ya ulaya katika michezo ya raundi ya 1o.
Kwa ushidi huo Timu ya taifa ya England imeweka rekodi ya kufunga jumla ya magoli 17-0 katika michezo yake mitatu iliyopita.
Mabao ya Harry Winks dakika ya 32 na Harry kane 79′ huku dakika ya 83 Marcus Rashford akiongeza goli la tatu na Mason Mount akihitimisha kalama ya ushindi dakika za nyongeza za mchezo na kuipa pointi tatu timu hiyo yenye mastaa kibao wa ligi ya uingereza(Epl)
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.
Mara ya mwisho kwa timu hiyo kufunga mabao kama hayo ndani ya mechi tatu ilikuwa May 1964 ampabo hivi sasa imefikisha pointi 21 kwa michezo 8 na kuongoza kundi A.