Mshambuliaji Fiston Mayele ametua katika ardhi ya Tanzania kumalizana na klabu ya Yanga sc akitokea katika klabu ya As Vita kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba.
Fiston ametua nchini na kupokelewa na Mkurugenzi wa uwekezaji wa Gsm injinia Hersi Said na kuelekea moja kwa moja yalipo makao makuu ya Gsm kwa ajili ya kusaini mkataba na mambo mengine.
Inasemekana mchezaji huyo atatambulishwa rasmi leo na anaweza kucheza katika michuano ya Kagame Cup inayotarajiwa kuanza hivi karibuni.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.