Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza Jack Grealish amekamilisha usajili wake wa kujiunga na mabingwa wa soka wa Uingereza Manchester City.
Grealish amekamilisha vipimo vya afya hii leo jijini Manchester na kusaini mkataba wa miaka mitano kuwatumikia wananchi hao wa Uingereza.
Aston Villa wamepokea ada ya paundi milioni 100 za Kiingereza na kumfanya mchezaji huyo kuwa ghali zaidi mkatika historia ya ligi kuu ya Uingereza na kumfanya kuwa mchezaji anayeliwa zaidi katika ligi hiyo akipokea kiasi cha 350,000 kwa wiki.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.