Beki wa zamani wa klabu ya Simba sc anayeichezea Express Fc ya nchini Uganda Juuko Murshid ataenda kufanya majaribio kunako klabu ya Maritzburg United Afrika Kusini.
Klabu yake ya Express FC nchini Uganda imethibitisha kuwa beki huyo mkongwe ambaye amekataa wito wa kushiriki michuano ya kimataifa kwa wachezaji wa ndani (CHAN) ndani ya kikosi cha Uganda ili acheze Afrika Kusini.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.