Mabingwa wa soka Tanzania Simba sc kupitia ukurasa wake wa Instagram imetoa orodha ya wachezaji wa mabingwa wa DR Congo TP Mazembe kitakachotua kuwavaa Simba katika mchezo wa kirafiki katika tamasha la Simba day.
Awali kulikuwa na wasiwasi juu ya ujio wa Mazembe katika kilele cha tamasha hilo kutokana na ratiba ya ligi kuu ya Congo kuanza wikiendi kuanza wikiendi ambayo mchezom huo umepangwa kufanyika.
Hata hivyo bado kuna mashaka kama kikosi kilichotajwa ndio kikosi tegemezi cha timu hiyo kwani hata mshambuliaji Mtanzania Thomas Ulimwengu hayupo katika orodha hiyo.
Kikosi kamili
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.