Winga wa klabu ya soka ya Yanga anakaribia kuihama timu hiyo mara baada ya kupokea ofa ya kujiunga na klabu ya RS Berkane kutoka katika nchi ya Morocco.
Kaimu Katibu mkuu wa Yanga Haji Mfikirwa ameeleza kuwa ofa waliyoipokea kutoka Berkane kwaajili ya Kisinda ni nzuri kwao kama klabu na kwa mchezaji pia hasa ukizingatia muda uliobaki kwenye mkataba wake kuwa mfupi.
Yanga inahusishwa kumsaini winga kutoka klabu ya As Vita Jesus Moloko kuwa mbadili wa Mkongomani mwenzake katika katika klabu hiyo.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.