Home Soka LiverPool Yaichapa Chelsea

LiverPool Yaichapa Chelsea

by Sports Leo
0 comments

Liverpool imeifunga Chelsea mabao 5-3 mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza na kufanikiwa kukabidhiwa kombe la ubingwa wa ligi hiyo huku wakifikisha alama 96 katika msimamo wa ligi nchini humo.

Mabao ya Liverpool yalifungwa na Nabil Keita dakika ya 23,Trent-Alexander Anord dakika ya 38 na Georgio Wijnaldum dakika ya 43,Roberto Firmino dakika ya 85 na la mwisho likifungwa na Alex-Oxlade Chamberlain dakika ya 84.

Chelsea walipata mabao kupitia kwa Oliver Giroud dakika ya 45+3 pamoja na Tabby Abraham dakika ya 61 huku Christian Pulisic akifunga la mwisho dakika ya 73.

banner

Chelsea imebaki nafasi ya nne kwenye msimamo ikiwa na alama 63 huku ikihitaji sare mechi ya mwisho ili kufuzu michuano ya klabu bingwa barani ulaya.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited