Kupitia ukurasa wake wa Twitter Kocha mkuu Yanga Sc Luc Eymael atoa pongezi kwa Simba Sc kwa kutwaa taji la ligi kuu Tanzania bara msimu huu .
Simba sc imetwaa taji hilo ikiwa ni mara ya tatu mfululizo baada ya kukaa bila taji kwa takribani miaka mitano ambapo uwekezaji wa bilionea Mohamed Dewji umeonekana kuleta mafanikio.