Kocha mkuu wa klabu ya Horoya AC Lamine Ndiaye, amependekeza klabu hiyo imuache Heritier Makambo au atolewe kwa mkopo ili kukirejesha kiwango chake baada ya kukosa nafasi kikosini.
Makambo akiwa Horoya AC msimu huu amefanikiwa kufunga magoli (2) pekee Amekuwa hapati nafasi kikosini na akipata hachezeshwi dakika nyingi.
Inadaiwa klabu ya Yanga sc ipo mbioni kumrejesha makambo ikihofia mastraika wengine watapata tabu ya kuzoea mazingira kama ilivyotokea kwa Michael Sarpong na Carlos Carlinhos.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.