Klabu ya Manchester United imeshindwa kuondoka na alama tatu katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Everton uliofanyika katika uwanja wa Old Trafford.
Man United iliongoza mabao mawili ya awali kutoka kwa Edson Cavani na Bruno Fernandes lakini mwanzoni mwa kipindi cha pili yalisawazishwa kupitia kwa Abdoulaye Doucoure lakini kipindi cha pili dakika ya 70 Scott Mactominay aliongeza bao la tatu kwa Man united ambalo lilisawazishwa dakika ya mwisho ya mchezo.
Man United endapo wangeshinda wangepunguza pengo la alama dhidi ya Man city wenye mchezo mgumu dhidi ya Liverpool jioni ya leo.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.