Katika kuhakikisha inaboresha kikosi chake wakati huu wa dirisha dogo, Ihefu SC imeanza harakati za usajili pamoja na kupeleka maombi kwenye vilabu kadhaa kupata wachezaji kwa mkopo.
Klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu kwa mara ya kwanza imelenga kuwasajili mastaa ambao hawapati nafasi katika timu za Kariakoo hasa Juma Mahadhi kutoka Yanga,Miraji Athumani,Ibrahim Ame na Charles Ilanfya kutoka Simba sc huku ikifanikiwa kumsajili Deo Munishi kama mchezaji huru.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.