Home Soka Mastaa Barca Wakutwa na Corona

Mastaa Barca Wakutwa na Corona

by Dennis Msotwa
0 comments

Taarifa za ndani ya Klabu zinadai kuwa baadhi ya mastaa wa klabu hiyo walikutwa na Virusi vya homa ya mapafu(Corona) japo haikuwa imewaathiri kiasi cha kutoonyesha dalili zozote zile.

Taarifa hizo zimeibuliwa na Radio maarufu jijini humo ya The Catalan ambao wamesema licha ya mastaa hao kupata virusi hivyo klabu hiyo iliamua kufanya siri na kutowataja mastaa hao.

Barcelona tayari imeanza mazoezi kujiandaa na kurejea tena kwa ligi kuu nchini humo ambapo baadhi ya Mastaa klabuni humo kama Lionel Messi wakuonyesha kutokubaliana na hatua hiyo.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited