Mkurugenzi wa ufundi wa klabu ya Yanga sc Nassoro Jaylan amejiuru wadhifa huo ili kuwa karibu zaidi na familia yake iliyoko nchini Uingereza.
Jaylan mwenye asili ya Zanzibar makazi yake yapo nchini Uingereza na alikua kifanya kazi na Yanga kwa chinichini kutokana na kutokua na kibali cha kazi ambacho klabu hiyo ilikua inashughulikia mpaka alipoamua kujiudhuru.
Mtaalamu huyo ndio aliyesuka mipango ya kuifunga klabu ya Simba sc katika mchezo wa machi 8 huku pia akifanikiwa kutoa sare katika mchezo wa awali na alikua akishiriki kumpa mbinu mwalimu Luc Eymael.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.
Kwa mujibu wa klabu ya Yanga sc ni kweli wamepokea barua hiyo japo wamegoma kulitolea ufafanuzi zaidi mpaka uongozi utakapokaa.