Klabu ya Yanga sc imemtambulisha benchi jipya la ufundi litakalokuwa chini ya kocha Roman Folz baada ya kocha huyo kuamua kuja na wasaidizi wake na kuwaondoa wale waliokua wamejiariwa katika …
Yanga sc
-
-
Yanga Sc
-
Zanzibar
-
Aliyekua kocha wa klabu ya Yanga sc Sead Ramovic ameibomoa klabu hiyo kwa kuwachukua watu wawili muhimu katika benchi la ufundi la klabu hiyo. Ramovic amemuondoa mkurugenzi wa ufundi wa klabu …
-
Yanga Sc
-
Yanga Sc
-
Karibu Jangwani Karibu Jangwani, Abdulnassir Mohamed,Umesomeka ujumbe ulioandikwa katika mitandao ya kijamii ya klabu ya Yanga sc wakimtambulisha kiungo huyo kutoka Mlandege Fc ya Zanzibar. Yanga sc imekamilisha usajili wa …
-
Klabu ya Yanga sc imemtambulisha rasmi mchezaji Offen Chikola ambaye amejiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili akiwa kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na klabu …
-
Zaidi ya shilingi milioni 100 zimetumika kumshawishi kiungo Mudathir Yahaya kusalia katika klabu ya Yanga sc kwa kusaini mkataba mpya wa miaka miwili. Mudathir tayari alikua na ofa kutoka klabu …
-
Moussa Balla Conte