Kiungo maestro wa klabu ya Yanga sc Haruna Niyonzima amenusurika katika ajali ya gari iliyosababishwa na Roli nchini Rwanda.
Niyonzima alikua pamoja na familia yake akitoka katika kambi ya timu ya taifa ya Rwanda kabla ya kufika njiani ndipo alipata ajali hiyo ambayo haikusababisha madhara kwake na wanafamilia isipokua gari ambayo imeharibika.
Kiungo huyo alikua katika majukumu ya klabu yake kuwania kufuzu michuano ya Afcon ambapo walikuwa na michezo dhidi ya Cameroon walipoteza kwa bao 1-0