Home Soka Odegaard arejea Arsenal

Odegaard arejea Arsenal

by Sports Leo
0 comments

Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Norway Martin Odegaard amerejea na kujiunga tena na klabu ya soka ya Arsenal safari hii kwa mkataba wa kudumu akitokea Real Madrid kwa ada ya euro mlioni 40′

Odegaard amesaini mkataba wa miaka mitano kuwatumikia washika mitutu hao wa London hadi mwaka 2026′

Mchezaji huyo alikua ni kipaumbele cha usajili dirisha hili tangu awali japo Madrid walitamani kumbakisha,Odegaard tayari yupo London kufanyiwa vipimo vya afya baada ya kukubaliana maslahi binafsi na Arsenal na muda wowote vilabu vyote viwili vitatangaza uhamisho huo.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited