Home Soka Real Madrid Waipumulia Barca

Real Madrid Waipumulia Barca

by Dennis Msotwa
0 comments

Ushindi wa mabao 3-1 walioupata Real Madrid dhidi ya Elbar umewafanya kupunguza pengo la pointi kutoka 5 mpaka 2 katika uongozi wa ligi kuu nchini Hispania (La liga).

Barcelona wanaongoza ligi hiyo wakiwa na pointi 61 na ushindi wa jana wa Madrid umewafanya kufikisha pointi 59 nyuma wa wababe hao wa Kantalunya.

Mabao ya Ton Kroos dakika ya 4 akiunganisha pasi ya Karim Benzema na Sergio Ramos dakika ya 30 huku Marcelo akimalizia kwa kufunga bao la tatu dakika ya 37 huku Pia Eibar wakipata bao la kufutia machozi dakika ya 60 mfungaji akiwa Pedro Bigas.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited